"Naagiza kuanzia leo usiku kutakuwa na zuio la abiria na vyombo vya usafiri kuingia na kutoka Kenya kupitia mipaka ya Kimataifa ya Tanzania na Somalia, watakaoruhusiwa ni Madereva wa mizigo tu na wao watapimwa kwanza, ukiwa na corona hautoingia Kenya”-KENYATTA (via NTV)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni