Marekani imeripotiwa kuongoza kwa idadi ya wagonjwa wa corona Duniani kote na kuizidi China na Italy ambazo zilikuwa vinara hapo awali, Marekani ina wagonjwa 81378 na vifo 1161, China ina wagonjwa 81,285 na Italia 80,538. “Watu wanapimwa USA, takwimu ziko wazi”
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni